Ni muhimu sana kua na brand inayojiuza iwe business au personal ila kukua kwa brand kunategemea
Ujuzi wako(Skills)
Stori yako(story) na
Mtazamo wako (personality)
Ni muhimu zaidi kama vyote vikihusika maana usaidia kuaminika kwa wepesi zaidi.
Kua na brand inayojiuza ni muhimu.
Maneno mengi hayabadili CHOCHOTE, Kinachohitajika zaidi ni VITENDO na MATOKEO.
Hakuna mda wa kutosha kujitetea, muda uliyopo ni kuonyesha tu kwa VITENDO.
@JideJaydee Kinachohitajika ni tahadhari, hata ikitokea mtu akapata nafasi ya pili, kiwango cha imani kwake lazima kishuke na tahadhari iwe kubwa zaidi na vipaumbele kwake lazima vipungue. Hawepo kama hayupo.
@Giftedlawyer @Lukengelo_ Utafutaji unahitaji moyo sana, muhimu kua mgumu tu na kuendelea. Ila haki ya Mtu ipo tu hata ikidhurumiwa kama Juhudi, maarifa na Mungu yupo, itafunguliwa kwa Mlango mwingine.
Asilimia kubwa ya watu ukata tamaa sababu uangalia sana RESPONSE ya watu kuliko kuangalia MALENGO na MAONO yao ni yapi.
Muda, Uzoefu, thamani na Juhudi ndizo ufanya mtu akubalike kwa kiasi gani.
Thought - - - - Action.
Fill that gap (nini kinahitajika).
Kuna watu hata ukiwaambia vipi kua inawezekana hawatoamini.
Mpaka pale vitendo vitakapohusishwa kuwaaminisha.
Kuna mda maneno tu hayatoshi kuwaaminisha watu ila Kinachohitajika ni VITENDO.
Zungumza na fanya pia, maana jambo kulizungumza ni rahisi sana kuliko kulifanya.
ACTION
Ukielekea KUKATA TAMAA, we kata tamaa tu alafu kosa Msaada.
Hakuna atakae kwambia fanya hiki au hiki
Ila binafsi AKILI itaamuka na utajua cha kufanya.
Mtu ndio kwanza anaanza jambo alafu analilia SUPPORT, nachojua support uja yenyewe kutokana na Value ya mtu.
Value = Results.
Kusema tu nataka niwe mtu fulani, nifike sehemu fulani au nifanye jambo fulani ni rahisi sana.
Kazi kubwa ni kutimiza.
Kinachohitajika
-Juhudi na maarifa
-Watu na mbinu
-Gharama na Muda
-Kuna kushindwa pia
Hata uzoefu haujengwi mara moja, ni mchakato.
Ubora unajengwa na muda.
Njia bora ya kukifanya kitu ni kukifanya.
Sio kujipa matumaini ya kua nitafanya FANYA.
Hakuna mtu anaangaliwa kauli ya NITAFANYA ila kinachoangaliwa zaidi ni matokeo YA KUFANYA.
MATOKEO ndio yataamua wapi paboreshwe na wapi paendelezwe.
Muhimu AKILI itumike zaidi ya HISIA.