5.Tembea hatua 7000+ kwa siku Acha mazoezi ya kukimbia
Unapokimbia mwili wako unahitaji energy ya haraka ambayo ni glucose hauwezi kutumia Stored Energy (FAT) au glycogen
Unapotembea FAT/glycogen huchomwa na mwili wako huwezesha kongosho kutengeneza insulini kwa kiwango sahihi.
#LIFEFACTS
HOW TO REVERSE TYPE2 DIABETES (KISUKARI)
Kwanza kabisa Hospitalini tunaambiwa mambo ya uwongo kuhusu tiba ya kisukari
#Watakwambia tiba ya kisukari ni Sindano za insulini (Insulin therapy),Hypoglycaemics, GLP-1 medications💊 For the rest of your life
This Wrong..👇
4.Funga kuanzia masaa 16
Acha kunywa chai ya asubuhi nikilevi tu
Kula kula 6 mchana na saa 1 jioni.
Baada ya masaa8 mwili utaanza kutumia stored energy (FAT) ambyo Huhifadhiwa kwenye mashavu,makalio,mapaja, manyonyo,kitambi na chini ya mbavu
Mwili utaanza kupungua kwa kasi sana
Part2:
How to reverse(Tiba ya kisukari)
Tiba ya kisukari ni rahisi tu endapo utaelewa Sayansi ndogo ya Mwili wako:
1.Hakikisha unaifanya kongosho yako (Pancreas ) kutengeneza insulini kwa wingi na kwa usahihi kulingana na uzito wa mwili na kiwango cha sukari katika mwili wako.
https://t.co/UqTBGH7iQO njia nzuri ya kufanya hivyo ni kulifanya ini lako lirespond vizuri na insulin yako ambapo hapa njia moja wapo ni “Do not challenge your liver give your liver a rest”
3.Pumzisha ini lako kwa ku-cut off completely #Carbohydrates na #Sukari
Acha kula…👇
#LIFEFACTS
Kama chakula chako hakikupi PROTEIN na FAT yenye afya kiepuke!!
Kula
Nyama ya mafuta,Samaki,Avocado,Mbogamboga,Mayai,Maji ya chumvi (Himalayan Salt)-INAKATA NJAA
Usile
Wali,Ugali,Matunda,Mkate,Asali,Chapati,Andazi,Noodles,Sukari,Soda,Juice-INALETA NJAA
#LIFEFACTS
Mwili unasource mbili tu za energy
#Sukari-iliyopo kwenye damu iliyotengenezwa mara tu baada ya kula wali,ugali,matunda,asali
#Fat-Sukari ya ziada ambayo haikutumika inahifadhiwa Kama FAT
Sababu ya Unene pressure,kitambi,cancer,ulcers,fatliver, acid reflux ni FAT
#LIFEFACTS
Ukitimiza umri wa miaka 30 vitu vifuatavyo hutokea:
1.Mwili wako unapoteza 1% ya #misuli yako ya mwili kila mwaka.(sarcopenia)
2.Mwili wako unaongezeka #uzito kwa 1% kila mwaka.
Nini ufanye?
Fanya weight resistance kwa sana.
Kula sana protin na veggies kwa wingi
>Ukila chumvi nyingi utaitoa kwenye mwili kupitia mkojo na jasho
>Ukila sukari nyingi utaishia kupandisha sukari kwenye damu
>kongosho kutoa Insulin kwaajili yakurudisha sukari kwenye baseline.
>Insulin kupanda juu ni chanzo unene,heart attck
>KULA ZAIDI CHUMVI KULIKO SUKARI
HAPPY RAMADAN TO ALL MY MUSLIM BROTHERS AND SISTERS AROUND THE WORLD.
-Avoid too much sugar intakes during breaking the fast.
-Avoid intake of Carbohydrates like chapati/rice/samosa/spaghetti/ etc
-Avoid running long distances rather start walking to burn your stored FAT.
Rizq isn't just food or money. A sincerely friend is also a form of rizq,a loving spouse, barakah in time,the peace of heart,a content family, all these is a form of rizqi. Happy New Year 2024!
🚨 @FabrizioRomano: “Caicedo would LOVE to join Arsenal, he wants a top club move as it was his biggest dream. Brighton will not change their stance just because of player statement, it has to be a very good proposal, otherwise they are prepared to fight & keep the player.” #afc