@Roselina1990 Acheni ulimbukeni wa dini watanzania, udini na ukabila ni njia tuu na tabia za watu hutofautiana kutokana na mazingira malezi pia. Wapo wakristo wengi na waislam wengi wamepotoka karne hii.... japo na ukiona mengi hujasikia jua yamefanyika kama sadaka hayajatangazwa.TUJISAHIHISHE
Reset, readjust, restart, refocus... as many times you need to just trust the vibes you get 🇹🇿😎
#arushatanzania#quattro#summervibes#love @ Arusha, Tanzania https://t.co/AdL8eqxG25