@YoungAfricansSC Wachezaji wenu wakisengesenge wale wa mafungu mnawatoa zanzbar atuwatak ,,,, kwanz mchezaj anatokaje uko zanzbar direct anaingia yanga Eng kmmk unahalibu ligi na timu wakacheze geita uko kwanz ,,,, shehani yuko wap mnaenda kuokota wengne
@SimbaSCTanzania@Africana_bway Sijui lini mashabiki wa simba tutapata akili ๐ญ๐ viongozi wetu wanai portrait ajenda ya iriza kuficha mazaifu yao sasa ivi tunashangilia iriza na FA ๐น๐น