Juzi juzi hapa mlinipa mawazo mazuri sana ya nini cha kuwashauri wanafunzi wanaonza elimu ya chuo kikuu. Leo naomba tena mawazo yenu mwanawane nini cha kuwaambia au kuwashauri wanafunzi waliohitimu elimu ya chuo kikuu mwaka huu. Kandamiza kwenye replies, nitaretweet.