Kwa sera zinazounga mkono viwanda na uzalishaji wa teknolojia ya kisasa wa kupunguza uzalishaji, Tanzania sasa ni kitovu cha saruji cha Afrika Mashariki.
Hatujengi barabara na reli tu, lakini msingi wa mustakabali wa viwanda.
Viongozi wa dini zote nchini Tanzania ni chachu ya kuendeleza umoja, mshikamo na heshima na upendo na sio vitisho.
Tunasimama pamoja chini ya sheria, tukikataa jaribio lolote la kutugawa au kuchochea mizozo ya kisiasa.
Rais Samia kuzindua Bandari Kavu ya Kwala, ikiwa ni kupungua mzigo unaoshushwa Bandari ya Dar es Salaam kwa asilimia 30%.
Tanzania kuendelea kuwa kitovu cha Biashara Afrika Mashariki na Kati.
Tanzania uzazi wa mpango kama sehemu ya maendeleo endelevu - kudhibiti ongezeko la watu ili kuendana na Dira ya 2050 na kuhakikisha rasilimali zinakidhi mahitaji ya siku zijazo.
Mkakati wa kikanda wa Rais Samia ni kujenga reli ya kisasa ya umeme kuunganisha mataifa yaliyotuzunguka, kufungua masoko na kuimarisha uhusiano wa kibiashara na mataifa hayo.
Mkakati wa kikanda wa Rais Samia ni kujenga reli ya kisasa ya umeme kuunganisha mataifa yaliyotuzunguka, kufungua masoko na kuimarisha uhusiano wa kibiashara na mataifa hayo.
Tanzania na Rwanda zasaini mikataba ya kimkakati katika kilimo na huduma za bandari, kuimarisha uhusiano baina ya nchi hizo mbili na kutengeneza fursa mpya kwa wakulima na wafanyabiashara katika nchi zote mbili.
Kupanua demokrasia maana yake ni kupanua chaguo, Rais Samia anahakikisha kwamba CCM inasikilza na kutumia sauti za wananchama na wananchi wote kufanya marekebisho.
Mama Samia anawekeza shilingi bilioni 3.2 kufikisha shule za sekondari za kisasa zenye ubora wa hali ya juu kwa vijana wa wilaya ya Rombo, akionyesha nia yake kwa watoto wetu.
Kaka Polepole Ikiwa kweli unapoteza imani katika utawala huu, siungesubiri mchakato wa vetting ndani ya chama uishe?
Ukweli usiopingika ni kwamba mlokuwa mnakula wote nchi wametupwa nje ya mfumo, kama ulikuwa na nia njema na nchi basi ungekuja kuchukua fomu ili uwatetee wananchi