Mchongo ni ZIC Wakala. Wasiliana nasi kupitia namba zifuatazo ili kupata fursa ya kuwa Wakala wa ZIC.
Simu ya bure: 080 000 8005
WhatsApp: +255659072500
#Tunakujali
Kila huduma inayoanza na kumalizika kwa tabasamu, huacha hadithi inayoishi katika mioyo ya wateja wetu kwa vizazi na vizazi. Kwa miaka 56 tumekuwa sehemu ya hadithi njema kwa wateja wetu kwa kuwakinga dhidi ya hasara zitokanazo na majanga yasiyotarajiwa.
#Tunakujali#CSW2025
Linda Nyumba yako na ZIC. Epuka hasara kwa kukata Bima ya nyumba yako na ZIC.
Wasiliana nasi kupitia:
Simu ya bure: 080 000 8005
WhatsApp: +255659072500
Baruapepe: [email protected]#Tunakujali
Tunapoanza siku ya pili ya Wiki ya Huduma kwa wateja, tunajivunia mahusiano mazuri yaliopo baina yetu na wateja wetu. Imani yao kwetu ni nguzo muhimu katika mafanikio yetu.
#Tunakujali
Katika kuadhimisha Wiki ya huduma kwa wateja, jana tulipata fursa ya kujumuika na wateja wetu waliofika katika ofisi zetu za Makao Makuu zilizopo katika Jengo la Bima, Mtaa wa Mpirani.
#Tunakujali
Happy Customer Services Week!
Thank you for trusting us.
Thank you for inspiring us.
Thank you for being the reason we serve with passion every day.
#WeCare
Tunalinda mizigo yako kila hatua. Bima ya Mizigo inakulinda dhidi ya hasara ya uharibifu wa mizigo yako.
Wasiliana nasi kupitia:
Simu ya bure: 080 000 8005
WhatsApp: +255659072500
Baruapepe: [email protected]#Tunakujali
Tunatoa pole kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein A. Mwinyi, ndugu, jamaa na marafiki kwa kuondokewa na mpendwa wao, aliyekuwa Mbunge - Jimbo la Fuoni, Abbas A. Hassan Mwinyi hapo jana.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amin.
Linda Biashara yako na ZIC. Bima ya ZIC inakinga biashara yako dhidi ya majanga yasiyotarajiwa.
Wasiliana nasi kupitia:
Simu ya bure: 080 000 8005
WhatsApp: +255659072500
Baruapepe: [email protected]#Tunakujali
Apply Now only at https://t.co/9tFIL8Av9d
For more information please call us at 080 000 8005 or text us through WhatsApp +255659072500 or email us at [email protected]#WeCare
Picha za matukio katika mafunzo yaliyotolewa na Shirika la Bima la Zanzibar (ZIC) kwa Mawakala wa Mikoa ya Arusha na Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
#Tunakujali
Picha za matukio mbali mbali katika mafunzo yaliyotolewa na Shirika la Bima la Zanzibar (ZIC) Mkoani Mbeya kwa Mawakala wa Kanda ya Nyanda za juu Kusini, mwishoni mwa wiki iliyopita.
#Tunakujali