🤣🤣🤣 Kazi Inaendelea.
Inasemekana Marie Antoinette Malkia wa Ufaransa alivyoambiwa Wananchi wana njaa maana hawana mkate alisema “Wacha wale KEKI!”Ndio hii ya ndege. Wananchi hawana barabara! “Wacha wapamde ndege!”
Nakutakieni usiku mwema.
Reply to @regmengi kuunda vikundi vya wafanyabishara&wakulima wadogo il waweze kupewa mashine&SIDO/VETA & TIB iwape mikopo kwajl vwand vdogo