Wataalamu wa Fani ya Usimamizi wa Kumbukumbu na Nyaraka Zanzibar wakiwa katika Mkutano mkuu wa nne wa Chama chao katika ukumbi wa Tibirinzi Chake chake Pemba.
Tunawakaribisha katika mkutano mkuu wa nne wa Chama cha Wataalamu wa Fani ya Usimamizi wa Kumbukumbu na Nyaraka Zanzibar, utakaofanyika tarehe 4 hadi 6/11/2024
Naibu mkurugenzi wa ZRMT akikabidhi vyeti baada ya kukamilika kwa mafunzo ya Financial records kwa wahasibu wa Taasisi mbali mbali pamoja na wanachama wa Taasisi hiyo ya ZRMT
ZANZIBAR RECORDS MANAGEMENT TRUST leo tumefanya mkutano mkuu wa pili ambao mgeni rasmi alikua ni Mh. Hamza Hassan Juma, ambae pia niwaziri wa nchi ofisi ya makamo wa kwanza sera, uratibu na baraza la wawakilishi.