HAPA NI KWA WALE WAKULIMA WA MAHARAGE.
Magugu yakianza tu kuota shambani, moyo unajua tu: 'safari hii ni palizi mbili hadi tatu za kutema jasho!' Lakini ukitumia BENS SUPER CLEAR 24EC โ unawasha moto mmoja tu, magugu yote yanasalimu amri!.
They pollinate 1/3 of the food we eat and gift us liquid gold: raw honey. Letโs protect the pollinators. Letโs celebrate the bees.
Happy #WorldBeeDay2025 from all of us at Eco-Bees!
Order your honey jar on +254 790 384 503 or https://t.co/kfSa2HviLc
#BeeTheChange#RawHoney
Mchele SUPER unapatikana
Bei ya jumla 2,900 kuanzia kg 100
Rejareja 3,100
KARIBUNI SANA
0742696253
@kilimoufugaji@HusseinBashe
DELIVERY TUNAFANYA KWA HUDUMA NAFUU KABISAA
Tumeshusha mzigo mpya wa mchele SUPER upo wa kutosha, karibuni sana wateja wetu, tunapatikana Mbezi beach Africana na Tandika.
Bei zetu ni za jumla na rejareja. Bei za jumla ni kuanzia kg 100
Tunafanya Delivery kwa gharama nafuu za mteja.
GRADE 1---3,300-3,500/kg
0742696253
Biashara ya Machine za kukoboa mpunga.(rice milling).
Mashine za kukoboa mpunga ni biashara nzuri lakini inahitaji usimamizi mzuri na mpangilio mzuri wa matumizi. Hii biashara ili ikulipe inabidi uwe una mashine tatu katika maeneo tatu tofauti. Hii ni kwasababu kila mwaka mavuno yanaongezeka au kupungua kati ya eneo moja mpaka lingine,kwahiyo ukiwa na mashine tatu katika maeneo matatu tofauti ni ngumu kukosa kazi.Mchanganuo wake ni kama ifuatavyo.
1. Mashine ya Kwanza Mapato yake yatumike kulipa bills za umeme na mishahara ya wafanyakazi wa mashine zote tatu.
2.Mashine ya pili mapato yake yatumike kulipa mikopo yote ya mashine tatu.
3. Mashine ya tatu mapato yake yote yahesabike kama faida tu.
NB.bei ya kukoboa kilo moja ya mchele katika bonde la Kilosa, ni shilingi hamsini tu(50tsh/kg).
@GilbertPaul95@wizara_afyatz@AfyaCall Ni allergic reaction inaitwa uticaria,, inasabishwa na vitu tofauti tofaut,,mfano kwangu nikifanya zoezi jasho likatoka sana inakuwa shida,pia chemical irritation,haina tiba ila nenda kamuone specialist wa ngozi au internal medicine kuna dawa unatumia inatulia kabisa.
USHIRIKINA KATIKA KILIMO
Series 2.
My past post kuusu ushirikina kuusu kilimo kuna watu wengi walikua wana pinga ili swala. Wengine wakidai akuna uchawi katika kilimo.
Watu wengi wanye Elimu na wana tumia logic katika mambo aya ya kishilikina bado awa amini kuusu Uchawi
Ndugu yangu uchawi upo na una fanya kazi siku tishii ila nakuambia jinsi ya kupambana na aya mambo
Ila kuna baadhi ya maeneo kweli kuna weza kusiwepo na uchawi lakn pia kuna maeneo pia kuna uchawi na una tumika sanaa tuu
Nilishawai msikiaga MWALIMU MWAKASEGE aki ongelea ili swala la kilimo na ushirikina ali sema kuna sehemu alienda kulima mahindi. Lakin wakati ana omba aliona ona majani yana stawi kuliko mahindi. Mwakasege ana sema aliona Aridhi iki chambua majani na kuayapa rutuba uku iki acha mahindi yakinyauka.
Mwakasege ana sema aliomba sanaaa. Mwisho wa siku peke yake ndio alipata mazao lakn wengine wote katika icho kijiji mahindi yao yalinyauka kabsa.
Swali la kujiuliza ina kuaje ardhi ina rutubisha majani tuu na ina acha mahindi
Kwann mwakasege tuu apate mahindi na wengine wasipate mahindi.
( Sja sema mwakasege ni mchawi. Ila najalibu kukuambia ww unae bisha kuusu uchawi katika kilimo )
KAMA
Una taka ku invest katika kilimo asa kwa maeneo ya vijijin sanaa emu jalibu kufuatilia history ya ilo eneo na mtu anae kupa shamba ilo na ww ujue mbinu za kiroho la kuweka mali yako sehemu salama kabla ya mbinu ya kimwili
SOME TIME MBINU ZA KIROHO NI MAANDALAIZI YA KWANZA KABSA KULIKO ATA MBINU ZA KIMWILI ๐๐ฅถ.
Like ๐ and retweet ๐