Tunaendelea na ujenzi wa Taifa tukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Mhe @HecheJohnz. Leo tumezindua vizimba katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Mwanza.
Rafiki yangu @jacksonmnyawam2 yupo gerezani na ametengwa na watoto wake kwa sababu tu , yupo upande wa kupigania HAKI.
Watoto wake wanamuuliza mama yao, “Mummy, where is our lovely daddy?"
Mama replies, "Your daddy is on safari.He will be coming back soon."
No hate No Fear
Watanzania msikubali kutapeliwa.
Samweli Richard alitenguliwa nafasi ya ukatibu Jimbo la Sumve toka tarehe 21.6.2026. Huyu siyo Katibu wa CHADEMA,hivyo chama hakiwajibiki kwa namna yoyote.
Leo nimemtembelea rafiki yangu @jacksonmnyawam2 katika gereza la Shinyanga. Wakati naingia nilikuwa na huzuni lakini nilivyomuona amejaa tabasamu lenye matumaini ,huzuni yangu iligeuka na kuwa furaha iliyojaa matumaini. Ujumbe wake kwetu ni huu “USHINDI UPO KARIBU”
URGENT: TUNDU LISSU’S LIFE IS IN DANGER
Credible information indicates that Tundu Lissu’s life is at serious risk.
For more than 470 days, Tundu Lissu has been held in detention in Tanzania as an unconvicted prisoner, without a fair and timely resolution of his case.
His continued detention has drawn widespread international condemnation:
1. Amnesty International has declared his arrest unjust and called for his immediate release.
2. The UN Working Group on Arbitrary Detention has concluded that his detention is arbitrary.
3. On 10 July 2026, the Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) called on the Government of Tanzania to resolve his detention within 30 days.
For more than two decades, Tundu Lissu has faced relentless persecution for his peaceful advocacy for democracy, the rule of law, and the protection of fundamental freedoms in Tanzania. In 2017, he narrowly survived an assassination attempt after being shot multiple times.
The Tanzanian authorities bear full responsibility for Tundu Lissu’s safety, health, and life.
Protect Tundu Lissu.
The world is watching.
—Admin
Rafiki yangu Jackson Mnyawami apewa kesi ya mchongo ya UGAIDI. Hii ni habari mbaya kwangu yenye matumaini ya ushindi. Nimeumia lakini ninamatumaini makubwa ya kesho.
Leo tarehe 23 Julai 2026 watuhumiwa 23 kutoka wilaya ya Nyamagana na Ilemela wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza. Watuhumiwa wote wemesomewa tuhuma ya UGAIDI.
Kesi imeahirishwa hadi tarehe 6.8.2026 na watuhumiwa wamepelekwa gerezani.
Zacharia Obad
KKV
Mahakama ya Wilaya ya Geita imemuachia kwa dhamana Mheshimiwa Neema Chozaile baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa zaidi ya siku 20.
Neema Chozaile anashitakiwa kwa kosa la kula njama za kuua Askari Polisi.
Shauri litajwa tena tarehe 3.8.2026 .
Makahama Kuu -Geita imemuachia huru Neema Chozaile. Baada ya kuachiwa huru kwa muda Jeshi la Polisi limefungua shauri Mahakama ya Wilaya . Sasa tupo Mahakama ya Wilaya -Geita.
Mahakama ya Wilaya inaendelea.
Mahakama Kuu Geita tukisubiri shauri la Mwenyekiti wa Jimbo la Geita Bi Neema Chozaile.
Leo ni amri ya pili ya Mahakama Kuu kuliagiza Jeshi la Polisi limlete Neema mahakamani. Amri ya kwanza iliekeza aletwe tarehe 14.7.2026 lakini Jeshi la Polisi lilikaidi amri hiyo.
Mahakama Kuu Geita tukisubiri shauri la Mwenyekiti wa Jimbo la Geita Bi Neema Chozaile.
Leo ni amri ya pili wa Mahakama Kuu kuliagiza Jeshi la Polisi limlete Neema mahakamani. Amri ya kwanza iliekeza aletwe tarehe 14.7.2026 lakini Jeshi la Polisi lilikaidi amri hiyo.
MAANDALIZI YA KIKAO CHA BARAZA KUU TAREHE 15 SEP 2026. KUWA SEHEMU YA KUFANIKISHA KIKOA KWA KUCHANGIA KUPITIA MPESA 0744446969 CHADEMA HQ.
CHADEMA NI TUMAINI LA WATANZANIA
CHADEMA NI SAUTI YA HAKI