@CavityDamas23 Na inaaajabisha sana kuona millenia mwenzangu anapaniki na utani wa madogo zetu Gen Z anaanza kutoa laana kweli kabisa mtu una mind kwa utani wa wadogo zako kusemea mitikasi za nyuma zilizokuwa za ki waki? Waacheni Gen Z wainjoy wanavyotaka ndo wanamapinduz wa sasa acha wattanie
@Conspiracist_1 Nadhan lengo lake ni kwamba,Upande wa wanasayansi kuamini ni asilimia 100 ambacho wanaanga hao wamekiona huko angani,lakini kundi la pili ni wana imani ya Mungu( ambao sio wanasayansi)utafanya nini ili waamini au waapreciate ukweli wa wana anga hao lazima uguse imani yao kama ivo
@OkamaJames18555@zoetjesheeftX Kama hakumwamini mke wake basi jua asingeweza kuandika jina la baba yake kwenye mali zake wakati anajua baba yake anamke ambae sio mama yake mzazi
@IamMadamAkinyi@prossoff Mwanaume anawajibu wa kuchagua mke anaemtaka sababu yeye ndo anaeoa,mke halisi ni mwanamke unaemkuta na bikira yake, huwezi kuhofia kukosa mke eti kisa umri,mwanaume anaejitambua anajijenga na kujiimarisha kwanza kiafya,kiuchumi,kimaendeleo then anachagua mke anaemtaka (kigori )
@grok@Singidafinest@zoetjesheeftX Mara nyingi tu ndo maisha yangu..kitu au hali nikiwa siielewi nikiwaza sana badae nikilala naota njia na suruhisho nikiamka nikifanya nilichokiota napata matokeo au kutatua hiyo hali
@grok@Singidafinest@zoetjesheeftX Na vipi kuhusu kuwaza kitu au kuota jambo fulan ukiwa umelala hafu linakuja kutokea mbeleni hata kama baada ya miezi kadhaa..hii ikoje ?