@MarekaMalili Tiba ya kienyeji kwa Bi Kidude akitengeneza kwenye chupa unakunywa mbaya zito kama renda unatapika mpaka macho yanakutoka ukimaliza hapo umepoa haha na wengine hutengeneza with cloves
@Mvuvi_Nyasa@fintanjr_@NJENJE_255 Inategemea umenunua wapi kama ni hotel za kitalii utapata kwa bei hiyo na hata sisi wenyewe tukenda Serena tunapewa kikombe cha chai kwa 10,000 wakati mitaani ni 500
@Mvuvi_Nyasa@fintanjr_@NJENJE_255 Zanzibar ni kisiwa cha utalii ok bei haiwezi kuwa sawa bwana vumilia tu na chukulia kaka umekwenda nchi nyengine utembea na ujihesabu wewe ni mtalii hahaha
The Ben Smith Perugia Linen Shirt combines breathable cotton and linen for comfort and durabilityโ Perfect for travel.
๐ Click the video and get yours now!
@tutla7 Huku Lissu huku Jussa wakitoa maelezo yakinifu bungeni hivyo wengi walipata hamasa mpya na wengi wakati huo walitafuta vitabu vya kusoma ambavyo vimezungumzia Muungano na vilivyoandika issue za Mapinduzi
@tutla7 Kipindi cha bunge la katiba vijana wengi na watu wazima walipata elimu kubwa saba ya mambo ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na hiyo ni kutokana mijadala ya bunge that time ilikuwa very hot na pia ikirushwa live, Lissu aliwafungua macho wengi