Mke wa marehemu Maalim Seif Sharif Hamad, Mama Awena Sinani akizungumza jambo na Rais wa Tanzania Mama @SuluhuSamia Hassan katika mkutano wa kumbukumbu ya Maalim Seif uliofunguliwa leo #Zanzibar. Maalim Seif Foundation sasa rasmi, imezinduliwa.
Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika mkutano wa kumbukumbu ya Maalim Seif Sharif Hamad uliondaliwa na Maalif Seif Foundation. Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi na Rais Mstaafu Amani Karume pia watahudhuria. Mkutano utafanyika Zanzibar tarehe 5-6 Novemba 2021.
Rais Mwinyi wa Zanzibar Dkt. hussein Mwinyi amemkaribisha rasmi mshidi wa Tuzo ya Nobel kwa upande wa fasihi Prof. Abdularazak Gurnah aje Zanzibar kutembea kwa mwaliko wa serikali. #nobel#gurnah#zanzibar
Tuliwashughulikia kweli uchaguzi uliopita. Kila mlipokosea tuliwaweka pini na mkatupa fursa ya kupita bila kupingwa, Rais Samia Suluhu awaambia vyama vya siasa vilivyoshiriki uchaguzi wa Oktoba 2020.