Rais Samia via BBC akasema upelelezi umekamilika. Afande IGP via StarTV alisema wanao ushahidi wa kutosha kuonyesha Freeman MBOWE ni GAIDI. Kesi imeanza kusikilizwa, ameletwa Afande KINGAI kama shahidi, kapuyanga. Hilo ni kosa letu? Acheni watanzania waone huo UGAIDI wa FREEMAN.