@MariaSTsehai Kwa mabunda yale ya pesa makanisani unategemea nani atakuwa wa kwanza kunyanyua ulimi wake kukemea haya maovu na watendaji wa hayo maovu kwa ujumla...?
@ExMayorUbungo Kwamba inamaanisha wagombea wote wa Chadema pekee ndio wamekosa sifa zakuwa wagombea lakini wagombea wote wa ccm wana sifa na vigezo vyote vya kuwa wagombea...?
Hapo tukiwatukana na kuwaambia kwamba CCM na viongozi wake hamna akili mtaagiza watu watuteke na kutuuwa...?
Inawezekanaje wagombea wa chama kimoja jimbo zima wamekosea kujaza fomu? Naona kichupa cha ghadhabu zinazidi kujaa kila uchwao, mwisho kitamwagika na hapo, nyie mtapanda Private Jets kwenda nje na sie, tutabaki na watoto wetu migongoni kutafuta hifadhi misikiti na makanisani.