Try #BigCash : The Highest Paying Reward App ever! Make money quickly by downloading apps and games. Exchange only 2500 Points for $15 Paypal Cash or Any Gift Card Link: https://t.co/Ox1UERWlRB
Ni muda sasa tangu marekani kudai kuwa RAIS wa COREA KAZKAZINI KIM kuwa hali yake ya kiafya ilikuwa ni mbaya sana. Kiasi ambacho alofanyiwa UPASUAJI WA MOYO.
Kwaiyo sasa wanadai kuwa amekufa kutokana na ugonjwa wa⦠https://t.co/mSjug33zuy
Serikali yaendelea kupambana vikali usiku na mchana juu ya COVID19. NA mpaka sasa watu 48 wamepona na wamesharuhusiwa kurudi majumbani mwao. Imani kubwa kwa serikali juu ya kupambana na COVID19. Ewe MUNGU TUSAIDIE.β¦ https://t.co/ourCclo9zO
WAGONJWA wa COVID19 Homa kali ya mapafu COVID19 katika eneo la AMANA mkoani DAR ES SALAAM walazimisha kurudi majumbani mwao.
Wagonjwa hao wamesema kuwa wao wanajihisi afya zao ziko imara kabisa. @ZeeynTv2020 https://t.co/FYlWqFnvPy
Mzee wa nani kaimwaga pombe yangu. Yani ni MADEE. atoa mchango mkubwa katika eneo la MANZESE. Juu ya kujikinga na maambukizi ya Homa kali ya mapafu COVID19 nchini Tanzania mkoa wa Dar es salaam. officialzeeyn https://t.co/XXF8KG4GGn
NCHI ya UGANDA YATANGAZA kuwa imefikisha watu waliopona COVID19 mpaka leo kuwa ni 46. Hali ya wagonjwa inazidi kuwa balanced nchini humo. officialzeeyn https://t.co/NYG1uNhTKO