African recruiters can and should begin recruiting with higher efficient tools powered by advanced artificial intelligence.
We are pushing that change.
#recruitment#artificialintelligence#futureofwork
https://t.co/6Eaui8cOl6
Exciting news! We've rebranded and pivoted from Patowave to Zestol, to revolutionize the recruitment process in Africa. Thank you for your support and stay tuned for our new advanced tools and resources for recruiters to streamline the hiring process #zestol#recruitment#africa
Sasa unaweza kuendesha biashara yako kidijitali. Rekodi Mauzo, Matumizi, Manunuzi, Fuatilia mtiririko wako wa Pesa, Tengeneza invoice na tuma kupitia WhatsApp/Email na kusanya madeni yako mara nne zaidi haraka.
Tembelea https://t.co/CWLqYoLDFR kujua zaidi.
Tafadhali Retweet ๐๐ฟ
Mara ya mwisho lini mteja alikimbia na deni lako?
PatoWave tuna dawa ya madeni...,
Kumbushia madeni ya wateja wako kirahisi kupitia whatsApp na meseji za kawaida kwa kutuma ujumbe onaojitengeneza kiotomatiki.
#doitbetter#patowaveapp#AccountingApp#BookkeepingApp
Leo nataka kuongelea jambo muhimu, jambo muhimu sana ambalo wafanyabiashara wengi hulichukulia poa. Kuratibu mapato na matumizi kwa biashara yoyote ni kama safari. kila hatua ina faida zake.
Utunzaji wa taarifa za biashara yako vyema kwa ufasaha na kwa uchambuzi wa ndani.
kunaweza kukusaidia kuielewa biashara yako kiundani zaidi na kukusaidia kufanya maamuzi fasaha, kwa muda muafaka.
Na hata wahenga walisema "mali bila daftari, huisha bila habari" lakini zama za madaftari zimekwisha sasa, na mwisho wa siku wewe ni mjasiliamli, sio muhasibu.
Kukosa mipango ni sababu kubwa kwa nini biashara nyingi zinafeli.
Unaweza kuzuia hilo ukiwa na PatoWave kwa kuratibu, kuorodhesha na kupanga bidhaa zako kiurahisi.
Unaionaje hii?
Pakua PatoWave App sasa...,
https://t.co/ikZZMB5RZt
#doitbetter#patowaveapp#AccountingApp
PatoWave App inakusaidia kusimamia na kuratibu mauzo na matumizi, huku pia ukidumisha uhusiano mzuri na wateja wako. Hauitaji elimu kubwa kutumia PatoWave App, endesha biashara yako kisasa kama mtaalamu sasa.
#doitbetter#patowaveapp#AccountingApp
@GhetoBoy_ @Mugerick Habari pole, tatizo hilo tuna lishughurikia kwa sasa unaweza kuingia settings > Apps > PatoWave > Permissions > Allow contacts na calender. Kwa maelekezo zaidi au maswali tupigie kwa +255765865640
@NzeymanaSr@Mugerick Habari pole, tatizo hilo tuna lishughurikia kwa sasa unaweza kuingia settings > Apps > PatoWave > Permissions > Allow contacts na calender. Kwa maelekezo zaidi tupigie kwa +255765865640
Je, wewe ni mfanyabiashara na unateseka kurekodi taarifa zako za mauzo na matumizi kwa peni na madaftari kila siku?
Tunawaletea PatoWave - programu rahisi zaidi ya hesabu kwa wamiliki wa biashara ndogo na za kati bure.
https://t.co/dxpytw8HKc
#PatoWaveApp#DoItBetter
Je, wewe ni mfanyabiashara na unateseka kurekodi taarifa za mauzo na matumizi yako kwa peni na madaftari kila siku?
Tunawaletea PatoWave - programu rahisi zaidi ya heasabu kwa wamiliki wa biashara ndogo na za saizi ya kati.
https://t.co/epQS9vyEgd
#PatoWaveApp#DoItBetter