@godbless_lema Hakuna namna ambayo tunaweza kufanya ili hata kulipa kodi aina yoyote tugomee maana serikali haramu inajinasibu kujiendesha yenyewe bila msaada wa wahisani. Je Wafanyabiashara nao wakugoma kulipa kodi wataendeshaje serikali๐คฃ
@MariaSTsehai Kwa kauli ya leo ya huyu mama ndo kama ametia petrol kwenye moto unaowaka. Sasa anayehamasisha vurugu kati ya watoto wao wanaoonyeshe mihela nje nje na wanaotaka Katiba mpya nani anayeleta vurugu?
@TZMsemajiMkuu@SuluhuSamia Sasa mtu kama amejenga kitu chake kwa ni akikibomoa kuna ubaya gani? Kwani amebomoa cha mtu? Acheni ujinga basi. Mnazidisha tu chuki kwa vijana na haya maneno yenu
@godbless_lema Dodoma imewafunika Arusha kwenye Tone tone๐คฃ Sasa Mwanza itafunika kila mahali maana pale ndo wanajua kukusanyika. Mbeya mrudi tena kupiga tone tone
@Jambotv_@ChaummaT Eti Bungeni hakuna upinzani? Jinga kabisa hili sasa hivi Chadema haiwazi kuwa mpinzani tena inawaza kushika dola na kuwaletea maendeleo wananchi ndo maana wananchi wanaiunga mkono Chadema