@zittokabwe on top 🤝
✒Alipigania Mradi wa Mchuchuma na Liganga, imerudi.
✒ Alipigania Mradi wa LNG Lindi, umerudi
✒Alipigania Umeme wa Gesi, umerudi.
✒Alipigania Mradi wa Eneo la Uchumi Bagamoyo, limerudi.
🎓Alipigania watoto wa kike kurudi shuleni, wamerudi.
Kupitia uzoefu wa miaka 15 Bungeni Mwami @zittokabwe ambaye ni Kiongozi wa Chama Mstaafu alipata wasaa wa kuwatoa mafunzo ya namna ya Baraza kivuli linavyofanya kazi.
Baraza kivuli la @ACTwazalendo limekutana kwa siku tatu kuanzia Jana tarehe 12 Juni, 2026.
Kiongozi wa Chama @SemuDorothy Waziri mkuu kivuli @MchinjitaIR Naibu Waziri Mkuu kivuli @LuhagaMpina Mnadhimu Mkuu wa Baraza Kivuli la Mawaziri @ACTBarazaKivuli Nangenjwa Kaboyoka na Katibu Mkuu Kiongozi wa Baraza Kivuli @idrisa_kweweta jana baada ya uzinduzi rasmi wa Baraza Kivuli la Mawaziri
Ni exclusive interview iliyochukua muda 2:57:27 kati ya Mwami @zittokabwe na jopo zima la Powerbreakfast Clouds Fm & Clouds 360 kwenye Clouds Tv.
Ni mahojiano bora yaliyojawa maarifa mengi na haichoshi kusikiliza .
Nimekusogezea link sikiliza 👇
https://t.co/wBz529HLsv
Congratulations Serengeti Boys for reaching the AFCON U-17 finals. I wish you the best preparations heading into that final against Senegal. @Tanfootball
Mahojiano ya Mwami @zittokabwe Clouds Fm & Tv kama umepitwa fuatilia hapa amegusia mambo mengi
✍🏻Juu ya Uchumi wa Watu
✍🏻Vyombo vya dola kushiriki siasa
✍🏻Tafsiri haswa ya uzalendo
✍🏻Uthibiti wa Serikali katika Sekta
Na mengine mengi 🍿
https://t.co/rXXnuryF0H
Mwami Zitto Zuberi Kabwe a Pure Pan-Africanist 🇹🇿. A true presidential material for our blessed country, Tanzania — committed to African unity, dignity, and transformative leadership for the people.
One day yes inshallah
Serena Hotel kwenye Kongamano la kitaifa la ACT Wazalendo lililokusanya wadau mbalimbali 16 Mei, 2026.
Wito wa Kiongozi wa Chama Cha @ACTwazalendo Mstaafu Ndugu, @zittokabwe juu ya TISS kushiriki michakato ya kisiasa.
Hatua ya muhimu kabisa kuokoa Taifa letu ni kuviondoa vyombo vya Ulinzi na Usalama kutoka kwenye Siasa. Ushiriki wa TISS katika siasa na haswa siasa za vyama ndio kumepelekea nchi yetu kuingia kwenye mkwamo na kusababisha mauaji ya raia. Ni lazima kuendesha kampeni mahususi ya kuviondoa vyombo vya dola kutoka kwenye Siasa zetu