Siku mkijua ni pesa za nani zipo nyuma ya vipodozi sijui itakuwaje wakutukana watatukana na wakulaani watalaan n wale wakusema hela ni hela watasema.
Anyways usitamani maisha yasiyo yako kuna watu wapo juu ya viti vya kifalme ila wamekalia moto.
#TajiriLaKihaya
Ila wakuu tukisema tu ukweli bila Kuoneana Aibu…
MWANAUME kwa mwezi Ikiwa Mshahara na marupurupu yote Hayafiki 700k.
Inabidi kwenye simu yako Hata namba ya mchepuko au manzi usiwe nayo kabisaa!
Focus on Building yourself first!
Mapenzi ni gharama…
#TajiriLaKihaya
Nmekua Busy saana na hii World cup…
Hadi juzi kuna Manzi kanijibu Ukuda kwenye Comment - nkakosa muda wa kumrudia!
Sasa nataka afaham maana halisi ya Tajiri la kihaya ni mmoja tu!
nmesahau Handle yake… maana mm huwa na comment tu randomly kila post inayopita mbele yangu…ila muambieni nlikua nmestaafu haya mambo ila kwa ajili yake LAZIMA niipige apende asipende… atake asitake!
Akinitafuta mwenyewe bila usumbufu wowote nitampa milion moja na laki 5.
(Tzs 1,500,000)
nkitumia Dalali kumpata - yeye atakula milion moja… dalali atakula laki 5.
Kama kuna Boyfriend yake humu… akiniunganishia manzi yake huyo…yeye atapata milion moja na huyo atapata milion moja. Kiufupi watagawana milion 2.
Nkitumia mbinu zangu nazo zijua mwenyewe atakula laki 5 tu.
Kwanza kabisaa naomba DATA zake zote - pale DM…
anaishi wapi, anafanya kazi wapi… anapendelea kuwa maeneo gani… anaemkula ni nani… dau lake lipoje! Yaani kila taarifa kumhusu naiomba DM,wakuu!
Wapwa hamjawahi niangusha… na huyu hata kua wa kwanza-
Muambieni ni yeye tu kuchagua anataka nimlaje kwa kua lazima nimle…