Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), amefungua kongamano la ‘China-Africa Vision: Towards a Sustainable Future’ leo tarehe 25 Agosti, 2023 katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu ameshiriki katika Mkutano wa 62 wa Bunge la Jumuiya ya Nchi za Afrika, Pasifiki na Karibian (OACPS) uliofanyika Jijini Brussels, Nchini Ubelgiji leo tarehe 1 Machi, 2023.
Tumekagua Visima vya Maji kwenye kata ya Mchikichini, Msimbazi bondeni na kuweza kukuta changamoto ya Miundombinu, na tumeweza kuitatua na Sasa Wananchi wa Wanapata Maji.
Tunaendelea kuunga Mkono Juhudi za Mhe. Rais @SuluhuSamia kuhakikisha Wananchi wanapata huduma ya Maji
Napenda Kutoa Salamu zangu za pole kwa Familia na waombolezaji wote kwa ujumla kwa Kuondokewa na Mpendwa wetu Hayati Balozi. Paul Milyango Rupia.
Innalilah wa Inna ilayhi Raji'un.