Mpaka sasa tumekusanya TSh. Milioni 255.3, na sasa tumebakiza TSh. Milioni 78.7 pekee kufikia lengo la TSh. Milioni 334 kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Awamu ya pili ya kuhamasisha Tonetone leo tumeingia mtaa kwa mtaa kuhamasisha uchangiaji ili kukamilisha milioni 334.
Kila tulikopita wananchi wametupokea kwa furaha na kuchangia papo kwa hapo.
Tuendelee kuchangia chama kwa namba M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Asanteni Watanzania kwa mwitikio wenu mkubwa. Mpaka sasa tumefanikiwa kukusanya TSh. Milioni 239.5, na sasa tumebakiza TSh. Milioni 94.5 pekee kufikia lengo letu la TSh. Milioni 334 kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
"Changieni Baraza Kuu, changieni chama cha ukombozi.
TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Kwasasa mjadala ni watu kuichangia CHADEMA BRO (TUPO NJE YA MUDA).
Mimi nimeapa mbele ya watanzania kuwa lazima tufikie LENGO la kupata MILIONI 340.
Nilifungulia kampeni hii kwa kuchangia 1M na sasa tuna 50M ndani ya masaa 96.
Tukifikisha 100M—nitachangia tena 2M kuanzisha safari ya kuisaka 200M.
Tukifikisha 200M—Nitachangia tena 3M kuanzisha safari ya kuisaka 340M.
Bro inawezekana hii—kama ulichangia jana fanya tena jua hatujamaliza. Kila mtu aweke nadhiri yake kwenye kukamilisha hili tunaweza wanangu.
REPOST 200.
Tuma mchango wako sasa.
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
TUMEBAKIZA TSH. LAKI 9 PEKEE KUFIKIA MILIONI 50! ✌️
Tumebakiza TSh. laki 9 tu kufikisha TSh. Milioni 50. Tukifikia hatua hiyo, tutakuwa tumekusanya TSh. Milioni 50 ndani ya saa 96 pekee, sawa na siku 4.
Hii ni hatua kubwa, lakini hatuwezi kufika huko bila mchango wako.
Tufikishe Milioni 50 kabla ya saa tatu usiku leo🔥🔥🔥
Tuma mchango wako sasa:
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
If Tundu Lissu is as politically insignificant as some claim, why has the state chosen to detain him on treason charges for over a year instead of defeating him politically?