@Psiteshio1@MriringeSteve kinyozi akiwa hafikish hesabu mara nyingi, kitu atapewa kinyozi mwingine anayetafuta kazi. So ku handle mapato ya saloon iko vizur lwa model hii than kuwa na cashier
@Psiteshio1@MriringeSteve Pia wanauliza jinsi ya ku handle mpato ya saloon. Siku hizi saloon owners wana model ya viti. Yani vinyozi wakali wanapewa viti na target ya pesa kila siku. Umeme na kila kitu wanajigemea. Mwenye saloon anaenda kuvuta chake kwa kila kiti.
@Psiteshio1@MriringeSteve saloon zinalipa, ila mtaji wa M1 bado kidogo. Saloon zinazolipa zinahitaj mtaji zaidi ya M1. Vitu ulivyotaja tu vinazidi M1. No 1 basic frem,Viti, vifaa vya kinyozi, Tv hiyo ndogo..hivi tu M1 haitoshi.
WORLD CUP QATAR : Jersey zote kali zenye quality zinapatikana @_2kSports . Unaweza ku-print jina kwa font unayoipenda.
.
Tupo Sinza Mugabe na Kariakoo Congo Tower. Delivery ndani ya Dar na mikoani inapatikana kwa haraka.
.
Size ZOTE zipo. Njoo Call/Whatsapp 0718516989/0711389645
WORLD CUP QATAR : Jersey zote kali zenye quality zinapatikana @_2kSports. Unaweza ku-print jina kwa font unayoipenda
.
Tupo Sinza Mugabe na Kariakoo Congo Tower. Delivery ndani ya Dar na mikoani inapatikana kwa haraka.
.
Size ZOTE zipo. Njoo Call/Whatsapp 0718516989/0711389645
#DerbyDay si ndio leo...na hii si ndio jersey inayosumbua mjini pamoja na Nyeusi ya wananchi.
.
Mzigo mpya ukitoka njoo shop @_2kSports uipate yako. Wiki ijayo mzigo mpya. @privaldinho