Ukizoea kutafuta sababu,
utapoteza nafasi
ya kutengeneza suluhisho.
Sababu zinaweza
kueleza tatizo.
Lakini hazibadilishi
hali uliyonayo.
Ukuaji huanza
pale unapoacha
kuhalalisha vikwazo,
na kuanza kutafuta njia.
Watu wanaosonga mbele
hawakosi changamoto.
Wanachagua kutafuta suluhisho
badala ya visingizio.
-Acha kutafuta sababu. Anza kujenga majibu.
Kama trader, mambo mengi ni magumu,
Usitegemee yawe rahisi
Kutumia usiku kucha kufanya backtesting ni ngumu,
Kuchukua trade mbili tu kwa siku ni ngumu,
Kukaa ukiangalia chart bila kufanya lolote ni ngumu,
Kutochukua trade baada ya kupata hasara ni vigumu
Lakini jua hili, haya yote ni tabia zinazoweza na lazima zijengwe kama mfanyabiashara ikiwa unataka kupata faida kwa uthabiti (consistently profitable)
Fanya tu mara kwa mara, hivi karibuni utapata furaha katika kuyafanya
As a trader most things are difficult,
Don't expect them to be simple
Spending whole night backtesting is hard,
Taking only 2 trades in a day is hard,
Staring at the charts and not doing anything is hard,
Not taking a trade after you have a loss is diificult
But guess what, these are all habits that can and must be developed as a trader if you want to be consistently profitable
Just do them repeatedly soon you'll have joy in doing them