If you’re still single this Valentine, I updated this song just for you.
Be encouraged, this too shall pass. Sending lots of love to y’all single people ahead of #ValentinesDay tomorrow 🤗
"Katika kukua kwangu nilikuwa nikiona harakati za mama yangu kutafuta kipato alikuwa akiuza kuni na gongo ambayo gongo hairuhusiwi kisheria hivyo nilikuwa nikiona maaskari pale nyumbani nachukua dumu lile nakimbia nalo kulificha."- @_Kusah_#SalamaNaKusah#YST
"Nimesoma kijijini kuanzia shule ya msingi mpaka form four na nilipokuwa form two nilikuwa nalima shambani na kuendesha bodaboda nikitoka shule, napakia abiria napata mzigo wangu maisha yanaenda."- @_Kusah_#SalamaNaKusah#YST
"Nilianza muziki katika umri mdogo, nilikuwa napandishwa majukwaani nafanya performance kwenye campaign za ccm na niliwahi kuandika wimbo wa shule na shule nzima wakauimba."- @_Kusah_#SalamaNaKusah#YST
“Nimepitia matatizo ambayo kuongea labda niongee na viongozi wa juu maana ni mateso mazito ambayo siwezi ongea kwenye mtandao. Ni kitu ambacho hata nikienda polisi napigiwa kuambiwa kuwa sitosaidiwa.”- @MalkiaroseM#SalamaNaRoseMuhando#YST
Update - Femi One (@Femi_One ) featured in @_Kusah_'s latest EP titled ROMANTIC. The song title is JIMWAGE.
Fact Zone - Kusah 🇹🇿 is known for his track "I Wish," which topped multiple Kenyan charts and became one of the country's most popular songs
https://t.co/oxMByatZAI
Thank you for 100,000 streams on boomplay @BoomplayMusicT 🔥🔥🔥…New ROMANTIC EP by @_Kusah_ is now available on your boomplay app
let’s keep streaming and enjoying good music 🔥
https://t.co/n8wypZJljf
it’s a love affair with @_Kusah_ on his ‘Romantic’ EP. it features guest appearances from @Johnnydrille and @Femi_One. 🧡
LISTEN now on Audiomack: https://t.co/iTZzEsbWo9
#keepthebeatgoing🪘
it’s a love affair with @_Kusah_ on his ‘Romantic’ EP. it features guest appearances from @Johnnydrille and @Femi_One. 🧡
LISTEN now on Audiomack: https://t.co/iTZzEsbWo9
#keepthebeatgoing🪘
Usiku wa leo ni usiku wa kukutanisha na #CoachEvarist kama bado hujawahi kukutana nae kwenye maisha yako. Mwalimu ndani na nje ya Basketball court. Story ya maisha yake na ya wale alowafunza.
Ni Alhamis ya leo saa tatu kamili usiku ndani ya #maishamagicpoa on @DStv_Tz#YST