Itoshe kusema sisi wanaume wa mikoani ndo zawadi pekee kutoka kwa Mungu tuliochaguliwa kama Tundu kwenu hivo tunastahili heshima na pongezi.
Kuanzia sasa kiongozi wa vikao vyote vya wanaume ni huyu hapa.
Elon Musk anasema haamini kabisa kama ukoloni ndo uliopelekea umaskini Africa
Mi nakubaliana nae kabisa umaskini wetu ni fikra mbovu zetu upi wewe ni mtazamo wako kwenye hili?
Mind you Elon ni muafrica mwenzetu
Itoshe kusema huu mji wenu una kashikashi nyingi mno kiasi kwamba unataka kuyumbisha misingi ya uwepo wangu katika jiji
Binafsi changamoto za Darisalamu haziwezi kunitoa katika reli kiasi nimsahau huyu mwanamke ambaye anaupendeza moyo wangu ๐ซถ
NAKUPENDA SANA BLESSED TILLAH โฅ๏ธ
Power ukishaizoea hata wakwambie wanakupa pesa kiasi gani uachie madaraka huwezi kukubali, hawa wazee ni muda wa kuwapisha vijana, lakini miaka kibao wanang'ang'ania madaraka๐ฎ...
Sema Declan rice ana winning mentality, huyu jamaa nimemnyooshea mikono bila huyu sidhani kama Arsenal tungebeba ubingwa wa ligi ameongeza kitu kikubwa sana tokea asajiliwe kwa hela mingi .๐๐ฅ
Dunia ya sasa hata viongozi wa Dini sio watu wa kuwaamini sio ukristo wala uislam
Mshikaji kafanyiwa loyalty test kakuta mke wake anacheat na mchungaji anapo salia
Kinacho muumiza Mshikaji ni kwamba mke wake kaliwa nyuma mpaka alikua anashindwa kukaa
This Generation ni uozo.๐
Hakuna formula ya maisha Chini ya jua pia tambua sio kila njia ina mfaa kila mtu ili kupata mafanikio
Unaweza kuwa na nguvu na afya siku ya leo na ukafa kesho kamwe usijikweze kwa wale wasio kua nacho
Jifunze kushukuru kutoka na kwenda kutafuta chochote kitu na kurudi salama ๐
Muda wa kuendeshwa na hisia,mihemko ulishapita haswa katika nyakati zangu za matamanio ila kwa sasa nausikiliza moyo tu tofauti na hapo nitakuwa muongo
Mungu asingemleta huyu katika macho yangu basi mpaka leo huenda ningekaa kuamini wanawake wazuri ni kina Beyonce, rihanna n.k