It was a cold night on May 19, 2012, in Munich, Germany
Chelsea were underdogs.
Bayern had the home crowd, the better team, and the momentum.
But football doesnโt care about your odds.
This is the story of resilience, redemption, and Didier Drogba.
A thread ๐งต
@INFLUENCERjr Kwani mimi shabiki wa yanga kuiombea mabaya simba au shabiki wa simba kuiombea mabaya yanga kama upinzani wa football apo kuna roho mbaya gani .....eb kueni serious na football hasa kwenye swala ushabiki kindaki ndaki eb tafuteni kingine cha kusingizia mazee
@HansChopoti6@Chogelo7@Adventure_36 Fuatilia kwanza mpira kijana kuepunga aibu ndogo ndogo .....alicho andika jamaaa ndo ukweli na ndo hali halisi ya football na ndo raha yake mzee....... kwamba unataka kuniambia final ya ucl shabiki wa Ac milan aishangilia inter acheni uongo bhana
@Adventure_36 Kwamba mashabiki mashabiki wa AC MILIAN wataishangilia Inter kwenye faninal ya uefa acheni ujinga hiko kitu hakipo sehemu yoyote duniani tusidanganyane hapa...
@EsirEid@PresenterNoah Hata ukienda kwenye shamba la mpunga mwezi wa nane huwez amini kama mpunga unalimwaga hapo....njoo nyakat za mvua sasa ndo utaelewa....