Salary ilidelay nkainivite my then gf sleepover nikamshow I won't be able to get her treats she's used to labda tukule ugali mayai tudoz akasema tureschedule adi siku kichele itaingia.Niliumwa ajab but atleast that day I knew she's in love with Spiderman not Peter Parker
Mwanaume unapigwa pressure ya kununua dining table ya 80k.. unanunua.. wife na watoi wanaitumia for 3 days.. after hapo it's back to eating kwa sofa ama ata bedroom. Dining table inabaki kua decoration. Ukiingia kwa nyumba uione unaskia tu umejam. Nonstick pots ulikazwa utoe 40k zishatoa rangi in 1 month wife amezitupa mbali hataki kuzitumia.. wife alililia bike ati atakua anaenda karura every Saturday.. ukabuy bike ya 60k.. akaenda 2 satos akachoka.. saa hii inakula vumbi kwa balcony. GOAT wives can show you dust. Oh boychild.. ukiona mwanaume amekamata beer baridi hataki ata kuongea wachana naye.