Yani ukiangalia Intensity ya Games za Msimu huu unakuja kugundua kuwa Manchester United Msimu huu kwa EPL tu Tuna Big match 38.
Hapo bado Europa,Inshort Msimu huu sisi Kila game ni Big match 💔💔
Tanzania watu wengi wanakosa platform ya kushare what they are going through wakiwa kwenye nyakati ngumu kwahiyo ukiona mtu anapost mtandaoni issue yake wwe jaribu kumuelewa tu Watu wanateseka 🙌