Mwanamuziki Shakira ameshea nasi kionjo cha wimbo mpya na maalum wa Kombe la Dunia 2026 unaoitwa Dai Dai.
Good News ni kwamba msanii kutoka Africa Burna Boy nae amehusika kuandaa na kuimba kwenye wimbo huo ambao utaachiwa rasmi May 14.
#EastAfricaTV#TogetherTunawakilisha #FIFAWorldClub
📋 Voici la liste des 28 joueurs convoqués par le sélectionneur national Pape Thiaw pour les matchs amicaux du mois de mars 2026 : le 28/03 contre le Perou à Paris et le 31/03 contre la Gambie à Diamniadio. 📞🇸🇳