Do you believe in hope ? 𝗔 𝗻𝗲𝘄 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗶𝘀 𝗰𝗼𝗺𝗶𝗻𝗴 🇹🇿✊🏾A new Tanzania is coming ! Impact doesn’t come easy. Every step forward requires patience, sacrifice, consistency, and dedication.
Inauma kuona kijana amenusurika kufa kwa kupigwa risasi, lakini maswali bado ni mengi kuliko majibu. Uchunguzi umefikia wapi? Ukweli utawekwa wazi lini? Wananchi tunahitaji uwazi, uwajibikaji na haki. Ukimya hauondoi maswali. #Haki#Uwajibikaji
Vitol yuko na nani?
Nani wamempa tenda ambayo Watanzania wanauziwa mafuta kwa usd 200-260 wakati Uganda anauziwa usd 83 na Msumbiji anauziwa usd 90.
Hawa Namaro waliosajiliwa Dubai mwaka 2023 ni kina nani? Wana uhusiano gani na wizi huu mkubwa unaoumiza Watanzania.
Vyombo vya habari Tanzania kwanini hamfuatilii na kuandika huu ujambazi unaongamiza Nchi kwenye wizi wa mafuta..
TPDC kwanini hawakutoa tenda shindanishi katika suala kubwa kama hili la mafuta.
NILIAHIDI TUKIFIKA 100M NITAANZISHA SAFARI KUITAFUTA 200M KWA KUANZA NA 2M.
TAYARI NIMEWEKA 2M✅✅✅
SIJAMALIZA NATAKA TUKIFIKA 200M NIJE TENA KUIANZA SAFARI YA 334M KWA MIMI KUWEKA 3M.
KAZI KWENU WANANGU 3M INAWASUBIRI TUITAFUTE 200M CHAP CHAP.
UJUMBE KWENU MLIOCHANGA—CHANGA TENA NA TENA NA TENA BADO HATUJAFIKIA LENGO 334M.
Namba: 0744446969
JINA: CHADEMA HQ.
REPOST 500.
MILIONI 100 ZIMETIMIA! 🔥
Watanzania mmeandika historia!
Sasa wananchi wamemjibu @Sativa255 kwa vitendo. Ahadi yake ilikuwa wazi; Watanzania wakifikisha TSh. Milioni 100, naye atachangia TSh. Milioni 2.
Lengo la TSh. Milioni 100 tumelitimiza. Sasa Watanzania wanamkaribisha Sativa kutimiza ahadi yake ya kuchangia TSh. Milioni 2 kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma.
TUENDELEE KUCHANGIA, MARATHON BADO INAENDELEA.
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Huyu siyo kwamba ni Kibaka au mwizi (panya road)....Hapana.
Huyu Mwenezi wa BAVICHA Taifa @FeliusFesto , ni Mtanzania mwenzetu. Kosa lake kuhudhuria kesi ya Uhaini inayo Mkabili Tundu Lissu. Polisi wetu walikuwa Wanapiga kama wanaua nyoka! Hii ilikuwa mwezi April mwaka 2025.
#BBCAfricaEye profiles Tanzanian opposition leader Tundu Lissu, who has spent more than a year in prison on treason charges for which he could face the death penalty.
He survived an assassination attempt in 2017 when he was shot 16 times.
🎥 Full film: https://t.co/WRWXi1oWur
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.