مهما بلغت من جودة وتميز، إذا كنت في المكان الخطأ فأنت عديم القيمة
Ukiwa sehemu isiyo sahihi hata ufanye wema na mazuri kiasi gani, bado utaonekana hauna thamani.
Ukipanda Ndege una muamini Rubani na unakaa kwa utulivu.
Ukipanda Daladala unamuamini Dereva na unakaa bila Hofu.
Kwanini Kwenye Maisha Humuamini MUNGU na unakaa na Hofu.??