๐ Referee announced for 2026 #SuperCup!
We're pleased to share that Somali referee Omar Artan will officiate the highly anticipated match between PSG and Aston Villa in Salzburg.
Katika kuimarisha afya na ustawi wa mwili, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameendelea kuonesha mfano kwa kutumia baiskeli kufanya mazoezi ya asubuhi.
Mstaafu Majaliwa ameonekana mapema leo asubuhi akiendesha baiskeli katika viunga mbalimbali vya Jiji la Dar es salaam, ikiwa ni sehemu ya utaratibu wake wa kila siku wa kujenga afya na kuimarisha mwili.
Mazoezi hayo ni sehemu ya ratiba yake ya mara kwa mara inayolenga kuongeza nguvu za mwili, kuboresha ustawi wa afya na kuendeleza maisha yenye afya bora na yenye tija zaidi.
Hatua hiyo imeendelea kutoa hamasa kwa Wananchi kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi mara kwa mara ili kuboresha afya zao na kupunguza hatari ya magonjwa yasiyoambukiza.
Kwa mujibu wa Wataalamu wa Afya na Wadau wa Mazoezi, kuendesha baiskeli ni aina ya mazoezi ya mwili (cardio) ambayo husaidia kuimarisha moyo na mapafu, kuboresha mzunguko wa damu na kuongeza uwezo wa mwili kustahimili uchovu.
#MillardAyoUPDATES
President of Botswana ๐ง๐ผ Duma Boko stunned the audience after stopping midway through his speech to deliver a brutal but powerful lecture on relationships, loyalty, and trust.
๐ ๐ง๐๐ ๐๐ข๐จ๐ฅ๐ก๐๐ฌ ๐๐ฆ ๐๐ข๐ ๐ฃ๐๐๐ง๐ ๐
A proud showing from The Brazilians on the biggest stage. Bafana Ba Style are your African Champions! ๐๐ฅ
AS FAR (40' Hrimat) 1๏ธโฃ (1) โ (2) 1๏ธโฃ Mamelodi Sundowns (45+7' Mokoena)
#Sundowns#TotalEnergiesCAFCL #AreyengMasandawanaUntilItsDone