@Kotsocha_ke Pesa umetolea jasho, umebleed huezi buy such... You'll pump it back in the business.
Hizo ni easy money, from fraud and 'Easy come, easy go'
@kimondio_ Biz ya kuosha watu hujui ni nani utaguza live wire.
Unaeza pata akitoka msee 50K tu but msee aka-invest 300k for his demise, something I would definitely do too
@Kenyans 500= 25bn
5000 = 250bn
50,000 = 2.5Tr
Si kila mtu angekuwa anakanjwa zake 50Gs every year na serikali inabakiwa na 2Tr clean for fundamentals such as Healthcare. Security ni wewe ๐