@MarekaMalili Kuna mwaka mambo yangu yalivurugika nikarudi kwa nyumbani kwa baba angu kujipanga upya, baada ya miezi mitatu nilirudi town kuanza upya na hela yangu ya kwanza niliyosave mwaka mzima nilinunua kiwanja, ile downfall ilinipa tafakari kubwa sana juu ya maisha ya uzao wangu.