Biashara kila mtu anafungua ila swala la kuendesha biashara sio kila mtu anaweza
It's like kila mwanaume ana uume ila sio kila mwanaume anaweza didisha uume wake๐
Mzee wetu alikuwa na utaratibu wa kurudi nyumbani kula chakula cha mchana maana ofisi yake na home sio mbali sana, siku moja nilikuwa na mood tu nikamwambia Bi Mkubwa andaa chakula cha mzee nitampelekea ofisini kwake.
Nilifanya kosa ambalo nilikaa najutia mwaka mzima na nikajiapiza kupunguza kimbele mbele, maana sasa ukageuka ni utaratibu muda wa kula ukifika anapiga simu nimpelekee kama bado nipo shule anasubiri mpaka nirudi.
Kwa kifupi nilijuta sana๐๐๐
Ukiingia ofisi yoyote ukakuta kuna wafanyakazi zaidi ya watatu na wote wanachezea simu, nakushauri anza kumuongelesha yule mwenye android na sio Iphone ๐