Dada wa miaka 21 amefariki baada ya kurushwa kutoka kwenye daraja lenye urefu wa mita 40 , kisa wafanyakazi walisahau kumfunga kamba ya ulinzi ambayo ingezuia asifike mpaka chini na kumfanya aningโinie kama bembea chini ya daraja hilo kama ambayo mchezo huo ufanyika, akarushwa bila kamba
Hii imetokea jioni hii huko Sรฃo Pauloโs Limeira, Brazil