#TajiriLaKihaya
Omar Artan, the Somali referee who was denied a US visa, will officiate the 2026 UEFA Super Cup final between PSG and Aston Villa๐๐พ๐๐ฝ๐๐พ
Hujashika simu siku nzima upo bize na kazi unakuja kuangalia simu jioni unakuta hakuna missed calls wala meseji whatsap zaidi mameseji ya voda tu na watu wa mikopo hapo ndio utajua unaishi maisha ya upweke sana ๐
Life becomes hard and difficult when everyone thinks you're fine and happy, while in reality you're the one suffering the mostโfeeling empty inside, just walking around without any help or support.
Bony anakwambia 600k ni ndogo angalau 900k kwa Shule ipi uliyonayo labda ?
Alafu humu kila mtu analipwa Mshahara kuanzia 1M si ndio ๐ค
Maisha yenu mazuri sana,tupeni sisi hizo kazi za 600k zinatufaa matajiri
Formula ya maisha yangu ipo hivi!
-Kila kitu kwenye maisha nimemkabidhi Mungu
-Naepuka hasira kwa gharama yoyote
-Sipendi kumuona mtu anaumia au kusononeka
-Sijiwekei matarajio makubwa
-Sina marafiki (Nina watu wakaribu)
-Sikai na chuki dhidi ya mtu
-Kwangu pesa ni baada ya utu.