Sijui rehab ni biz or ni scam buana same week nlitoka rehab was the week I had my birthday 8th Dec hivi hiyo Day nlishika Drugs kama fakin Hadi sikua naamini if ni me mwenye nlikua nmeacha Madre for a better life huko sirudi Tena nlitoka nkitumia vitu ata sikua natumia before
Kila wakati huwa najiuliza kwanini death rate ya wanaume iko high kuliko women, ukipata mtu amegongwa ni mwanaume, uncle do anamezaga toothbrush, babu do anapoteza meno WA kwanza