Tabasamu moja linaweza kubadili maisha ya mtu. ππ§‘
Jiunge nasi katika safari ya kurejesha matumaini, upendo na furaha kwa wale wanaohitaji zaidi. Kila mchango, kila sala na kila ushiriki vina maana kubwa.
π M-PESA LIPA NAMBA: 37321168 [AGENT OF SMILE]
#TUNALIREJESHA

Siku moja.
Maeneo matatu.
TABASAMU zaidi. π§‘π
Jiunge nasi tunaporejesha matumaini, kushiriki upendo na kugusa maisha ya wengi Morogoro tarehe 27 Juni, 2026.
Shiriki nasi kwa kuchangia kupitia M-PESA LIPA NAMBA: 37321168 [AGENT OF SMILE]
#TUNALIREJESHA#AgentOfSmile#Smile
TUMELIREJESHA π€
Asanteni sana kwa upendo wenu, michango yenu na uwepo wenu.
Kwa pamoja, tumefanikiwa kurejesha tabasamu na matumaini.
#AgentOfSmile#JustSmile#RestoreTheSmile
TUMELIREJESHA π€β¨
Thank you for your love, support, and presence.
Smiles are restored, hope is renewed.
Together, we keep goingβ¦

Only 1 day to go! β³
Jiunge nasi kwenye TUNALIREJESHA Charity Outreach β 21 March, 2026 huko Jerusalem Childrenβs Home, Kibada - Kigamboni, Dar es Salaam. @jerusalem_org
Karibu kushiriki au kuchangia kusaidia kurejesha tabasamu kwa watoto. π€