Mnataka Sifuna asimame juu ya gari aanze kuAnalyze policies to illiterate fellas in Mumias highway wametoka kusiaga miwa?. Ikifika kwa sunroof, hapo unaweka akili kando unaambia opponent vile hafai kuchaguliwa juu bibi anampiga. Huko pettiness and emotional political oratory wins
If you hire me niende kuua mtu, unafaa kunilipa pesa mzuri sana nikimaliza kazi naenda straight airport to start a new life in Curacao....sasa 100K ni nini? Don Julio nne?