Kijana wangu wa nyumbani pale ushago aliamua kujitoa kwa soko and settled on marrying a Gikuyu lady. Wakaishi pamoja for years. Jamaa alikuwa anafanya kazi kwa kampuni ya pombe na huyo dame pia kalikuwa kanafanya on the same company.
Siku moja bibi akamshawishi wanunue plot huko Kiambu. Kumbe mjamaa alikuwa anatoa pesa, lakini title deed ikaandikwa kwa jina la bibi. Wakajenga nyumba kwa hiyo ploti.
Kumbe huyo bibi, kutokana na connections zake kazini, alikuwa amepata promotion na akamsababisha jamaa kupigwa transfer kikazi. Mambo yakazidi kuwa mabaya mpaka wakaachana juu dame kalikuwa kamepanda level.
Jamaa kalitolewa shamba alinunua na what followed ilikuwa nikurudi ushago Biretwo.
Hapo ndipo unaelewa why some marriages can be tricky.
Majamaa leo n friday na sharp boyz wametoka wameenda kufinya ur loyal girlfriend .😂Mm ndio naingia kwa my humble 4 corned silver apartment .nimesave miaka nne nimenunua macbook pro 2015 . Nataka sasa mnionyeshe vile mnapata dollars ata landlord aache kunikasirika na hii 1800😂😂
@lydiah10b Sio wote
Niko na anti-tissue babe alinishow haezi ingia single rooom 😂😂na mm apa naishi kwa silver apartment
Yes ananipenda lakini itabidi niume niachie next