We mbwa sikia..Alejandro Garnacho akiulizwa role model wake anakujibu ni CRISTIANO RONALDO...Dogo ni muARGENTINA. Basi kule wamfukuze kisa kasema yeye anampenda CR7?Acha ufala ukikosa cha kusema tuliza kinyeo chako huko..SHENZI KABISA
Nataka niwape ONYO. Najua mtaanza kumtishia yule kijana kisama amesema akina mkwara sio kioo. Kiufupi amesema ukweli hana cha kuiga kutoka kwao. Unaiga nini kutoka timu mbouv? Kama viongozi wanawatuma wachezaji kufanya ushirikina ndani ya uwanja tena kwenye nchi ya watu? Ole wenu mumtishie Chasambi. Ole wenu