Eh! Huko ndani ni bampa to bampa!
Ila utekaji kwa sasa hatuwezi kukubali wala extrajudicial killings!
Huyu Mwambe mpelekeni mahakamani au mwachieni kwa dhamana @tanpol
Alafu @nchimbie unakumbuka nilikushauri sana tokea mwaka jana! Haya
Tuseme kwa pamoja #SamiaMustGo 👊🏽🔥
#TutaelewanaTu