Tukiwa form 1 kuna a certtain young female teacher alituangalia namna hii akaona hiyo class most of the young men there tulikuwa shy sana. So, aliamua kutusaidia kuboost confidence by making sure ameinterract na everyone at a personal level. Tukiwa lesson, alikuwa anakuuliza swali akiwa amesimama next to you na anamake sure amekupiga eye contact ukijibu na ukijaribu kuibreak ukiwa wa kwanza, unaona moto. Alafu siku ya kurudisha paper za exam, alikuwa anatuitia paper one by one then ukiingia kwa ofisi ya department unampata akiwa peke yake anaanza kukupiga interrogation.
Nobody dared sharing the contents of their discussion with Mwalimu but I remember one day nikiendea paper, aliwai niambia ati amenipea 3 minutes nimkatie adi aingie box yangu. Na juu nilikuwa mgeni kwa hiyo sector, mistari nilikuwa nayo iliisha ata before one minute iishe. Na yeye akanichocha ati ' You've tried, your classmates ata hawasemi anything juu ya kutetemeka.' Nakwambia iyo statement iliniskuma for the four years such that Kiswahili nilikuwa napata A kila wakati. Most of the young men thought mwalimu was 'seducing' them, but mwalimu was just helping them to become men. Nakwambia sahii nikipatana naye hivi, hawezi amini, mistari niko na mingi kuliko yenye iko kwa ile sharti Makenzie alipewa juzi.
Kuna morio wangu akona 1.1Billion dorras uko adselect sahii ndio nasimp uko dm nikimuita waziri , general juu kukienda vizuri naeza toka yard na ka audi kesho😂😂
Lakini women nao huwa wanamove on haraka sana buana. Nakumbuka kuna day fulani tukiwa highschool Shule yetu ilikuwa imehost mashule mingi sana for a contest. Sasa, since classes karibu zote zilikuwa zinatumika hiyo siku, wanafunzi wote tulikuwa tumepewa option ya either uende field ama uende entertainment huko DH. Mimi na mbogi yangu tulichoose kuenda field ndio tuweze kuspot wasichana wazuri wazuri immediately wanatoka exam room. Na kwanza tulikuwa tumedungia zile nguo za weekend. Mimi nilikuwa na sport shoe fulani hapo ya white, tshirt ya white na kinyasa three quota na nimepiga roll-on kwa makwapa ndio nineutralize any smell ya nguvu.
After some minutes, tuliona mbogi fulani ya wasichana ikitokea exam room na tukaamua kuattack. Watoto walikuwa wameweza sana but walituambia wao ni form threes so ikabidi adi sisi tuwadanganye tuko form 3. After vibing for some minutes as a group, watu walianza kujitoa wawili wawili. Mimi nilijichukulia msichana mmoja mweupe hivi mwenye figure number nane. Kwanza alikuwa vibe sana na tukaanza kutembea tukielekea DH. Kufika, nilipata form 3 fulani wawili kwa mlango na walikuwa wanakataa form 1 na 2s waingie ndani. Lakini mimi hawakunizuia kuingia so nikadhani ni juu tunajuana. Kuingia tu hivi nikiwa nimeshika mrembo wangu mkono, sijui niligongwa wapi nikaachilia yeye buana, kisha sikuelewa kuliendaje nikajipata katikati ya kundi la vijana wa form 3 kama kumi hivi. Nakwambia nililimwa mang'oto kadhaa nikiwa nimeskumwa nje ya mlango na mateke. Nilisimama hapo nje nikiwa nimechanganyikiwa adi ikabidi nichungulie kwa dirisha nikitafuta mrembo wangu Maggie. Wueh, kuchungulia ndani sikuamini macho yangu, niliona Maggie akirombosea jamaa fulani hapo. Yaani in less than ten minutes, alikuwa ashaa move on na ata hakutaka kujua kama nimeumizwa na hao wahuni. Kutoka hiyo siku dem akiniambia anaitwa Maggie ua namcut off haraka upes.
Since niachwe na Kajuju nimekuwa nikijalibu kuapproach hii wasichana na imekataaa kapsaa. Ikifika hapo kwa talking stage nimeshidwa kurizz hii wasichana walai! Game iko chini! Ama ni pesa? Juu naye Kajuju was the bare minimum that I had. Let me concentrate na hii pesa
Someone sponsor my trip to Côte d’Ivoire for the game on Tuesday 17th. 🇰🇪😂 I’ve seen enough today, I need to follow this team wherever they go.Ama mko na number ya Omondi 🌚❤️
Ugly broke unambitious kijana ya east ndio nafika kwa tiplo. mkononi mwa kushoto nimeshika bag mbili za jaba, mwa kulia nimeshikilia blunts mbili, kwa mgongo nimehang kifoi ya mjengo, bado sijaguza Twitter foreman alinitumia sana, swali ni je, mbona NACADA wamelegeza hivo!