AKILI ni kama karatasi tu Kuna NYEUPE zinatumika chumba cha mtihani na mengine yanatumika barabarani kufungia vitafunio.
Tunahamasishana sana lakini mwisho wa siku kila mtu na AKILI yake na atachagua mwenyewe NYEUPE(KUFANIKIWA) au gazeti(KUTOKUFANIKIWA).
Mungu aliwasamehe makahaba, lakini ilipofika wakati wa kumchagua mama wa mwanawe , alimchagua bikira Maria.
Ivyo basi Wanaume tuwe na busara kama Mungu tusamehe kwa uhuru lakini wakati wa kujenga familia unapowadia, chagua kwa busara na sio HISIA.📌
Kilicho CHAKO kitakuja pamoja na udhaifu wako.
Kisichokuwa CHAKO huwezi kukipata pamoja na nguvu na jitihada zako!!
Haijalishi unatafsili vipi mambo ,ila kila kitu ni cha kawaida.
Tunaishi kwenye dunia ambayo UOVU umepambwa na kuitwa UTANDAWAZI na MAASI yamepewa majina ya UHURU.
NB;Sheria za mungu hazitapitwa na wakati sisi ndio tunapotea kwenye wakati
Kama ningeweza kupanga upya herufi, ningeweka yako na mimi pamoja.
Ivi wewe ni seli nyekundu ya damu.? kwa sababu unatoa oksijeni kutoka kwenye mapafu yangu na kuileta moja kwa moja moyoni mwangu.
Nimekuona kwa moyo wangu sio macho yangu.❤️
. Je, utakuwa wangu milele kuanzia leo?
Kama ningekuwa virusi ningekuambukiza kwa upendo wangu❤️.
Je, una bandeji? Kwa sababu nimekwaruza goti langu kwa ajili yako.❤️
Wewe ni Netflix? kwa sababu ningeweza kukutazama kwa saa nyingi
Tufanye uhalifu kwa pamoja. Nitaiba moyo wako na unaweza kuiba wangu❤️.
Aliyebadili Dini kwa ajili ya mwanamke AMEACHWA
Aliyekopa pesa kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke AMEACHWA siku ya REJESHO.
NB;Endelea kung'ang'ania Iko kiumbe ambacho sio DADA yako wala MAMA yako 🫵
Siku zote usifanye maamuzi kwa kutumia hisia bali tumia siku nyingi kufanya utafiti na siku Moja kufanya maamuzi.
Kazi ya KICHWA ni kufikilia ili uweze zitawala hisia
NB;TUMIA KICHWA CHAKO VIZURI ILI UWEZE KUFAULU MTIHANI HUU📌