Specialist Of Non-Surgical Ocular Problems๐ฅผ โข||Ocular Health, Maintaining Good Vision and Eyesight+||โข๐๐๏ธ โAFYA YA MACHO%โ Authentic [email protected]
๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐
1.Epuka Kuvaa Miwani ya Mtu mwingine au kutumia ambayo haijapimwa na daktari
2.Usitumie Dawa za Macho(Eye drops)kabla ya kupima na kujua shida yako-๐ง
3.Fanya Check Up za macho yako mara kwa mara(Mara Mbili kwa Mwaka)
4.Epuka Uvutaji wa Sigara
5.Epuka Unywaji wa Pombe uliokithiri
6.Fanya Mazoezi ya Mwili Mzima(Jogging etc)
7.Kula Mlo Kamili mwenye virutubisho muhimu kwenye Macho kama Vile;-
โ Vitamin A-karoti๐ฅ
โ Vitamin C-mboga za majani๐ฅฌ
โ Vitamin E-Matunda(machungwa๐
โ Zinc Minerals-Supu za samaki๐
God bless you#AfyaYaMacho
Muone Mtaalamu wa macho unapohisi hali ya Tofauti katika Macho Yako.๐ค
USINUNUE MIWANI FEKI!
Wakati mwingine, kutovaa miwani kabisa ni bora kuliko kuvaa miwani feki.
Unaponunua miwani ya jua au ya mtindo, zingatia yafuatayo:-
1.Hakikisha ina kinga ya UV400: Hii inamaanisha kuwa miwani hiyo inazuia mionzi hatari ya UV-A na UV-B kwa 100%
USINUNUE MIWANI FEKI!
Wakati mwingine, kutovaa miwani kabisa ni bora kuliko kuvaa miwani feki.
Unaponunua miwani ya jua au ya mtindo, zingatia yafuatayo:-
1.Hakikisha ina kinga ya UV400: Hii inamaanisha kuwa miwani hiyo inazuia mionzi hatari ya UV-A na UV-B kwa 100%
๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐.
1.Punguza Matumizi ya Dawa za Macho (Eye Drops) bila Kupima-especially dawa za allergies za Macho.
2.Fanya kipimo cha Presha ya Macho.
3.Fanya Matibabu ya Magonjwa Sugu ya Mwili (shinikizo la damu na Kisukari)
4.Fanya Mazoezi ya Mwili.
5.Epuka kuwa na Msongo wa Mawazo.
6.Tambua kama kuna Historia ya shinikizo la Macho katika familia yako.
God bless you #AfyaYaMacho #ElimikaWikiendi
Muone Mtaalamu wa macho unapohisi hali ya Tofauti katika Macho Yako.๐ค
Ukishakua Mtu Mzima Tambua Utoto Haufai;
-Sali sana
-Fanya Kazi kwa Bidii
-Timiza Malengo Yako
-Kuwa na Fikra Chanya
-Toa Mahitaji ya Msingi kwa Familia Yako
-Pambania Haki
-Kuwa na Heshima
-Acha Mikumbo
Jifunze kusema โHAPANAโ kwa mambo yanayo kwamisha Maendeleo Yako.
Ulimwengu utakufanya ufikiri kwamba kila baraka lazima iwe ya kifedha,Nakufanya udharau zawadi ya maisha, familia,afya, na amani ya msisha.
Good morning.
Fahamu faida ya Tunda aina Tango๐ฅ (Therapy) katika Afya ya Macho Yako.
Uzi;-๐งต
Tiba ya tango baridi inaweza kutumika kutuliza na kulainisha ngozi, kupunguza uvimbe, na kuboresha mwonekano wa macho yako;
๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐ ๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐.
Maintaining good eye health is crucial for overall well-being.
Certain nutrients can help prevent eye diseases and maintain good vision.
Key Nutrients for Your Eye Health.
Thread;-๐งต