Vituo vya kupiga kura vimefunguliwa nchini Msumbiji huku watu milioni 17 wakitarajiwa kupiga kura katika uchaguzi wa rais, pamoja na uchaguzi wa wabunge na majimbo.
Katika uchaguzi huo chama tawala cha Frelimo kinatarajiwa kudumisha utawala wake.
@BBCBreaking
Russia's intelligence agency has been on a mission to generate "sustained mayhem on British and European streets", the head of MI5 has said.
https://t.co/m7ZoNRmS73
The game went to 1️⃣-1️⃣
J. Gvardiol (35') first score which was assisted by J. Grealish. Then A. Gordon (58') score a penalty to level score .
Piece of reminder when pep said . If you see Manchester city not in winning state is because of Rodgi😆
Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa kufunga kikao maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Taifa katika ukumbi wa Parokia ya Bombambili, Songea mkoani ruvuma
https://t.co/1S4DUTDzq3
#theiconxnews#news#PoliticsToday#theiconx#Tanzania#ccm
Imeanfikwa na @MwananchiNews Mzazi Prosper Mbise (kulia) akiwa amevaa sare za shule, kwa lengo la kumpongeza binti yake Gift Mbise kwa kuhitimu elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara. Picha na Joseph Lyimo
#theiconxnews#theiconx#news