Lakini wakenya nao hukuwa creative sana😂Kuna video nimeona ya huyu jamaa alikuwa anaibia watu then DCI kumshika jamaa ikabidi ametoa ma*vi moto akaanza kupaka hao mapolisi😂 Comment section nayo imenibamba vibaya
Here is a thread of those funny comments 🧵
Open video😂👇
2017 nikiwa ocha nliwai pata mzungu online ati ako Nairobi, akaamua atakuja kuria kuniona..hio siku ya kukuja akafika narok akasema amegonga ngombe za masai nimuekee 4k aongeze 23k alipe ameua 6 cows ama gari yake ichomwe ..bwana napewa adi masai apo namuongelesha hivo ndo nligongwa 4k baridi 😂😂